Jumatano, 5 Novemba 2014

ADA ZA MAGARI KUPITIA SIMU YA KIGANJANI NA MTANDAO

kupanga foleni wala kufika katika kituo cha kulipa kodi ni rahisi na kisasa zaidi

USAJILI WA NAMBA MPYA ZA PIKIPIKI NA BAJAJ


Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA inawatangazia wamiliki wote wa pikipiki kuwa Serikali imebadili namba za usajili wa pikipiki na hivyo namba mpya zinazoanzia MC 101 AAA zitaanza kutolewa tarehe 1 Oktoba 2014.

Unatakiwa kuwa na kadi halisi ya pikipiki au Bajaj yako na gharama ya kadi mpya ni shilingi elfu kumi. Zoezi hilo litadumu kwa miezi sita bila ya adhabu, kuanzia tarehe 1 Oktoba, 2014 hadi tarehe 31 Machi, 2015.

“Pamoja Tunajenga Taifa Letu”

MFUMO MPYA WA UONDOSHAJI MIZIGO

Huu ni mfumo mpya na wakisasa kabisa wa kukadiria Ushuru wa bidhaa.

ZIJUE MASHINE ZA KIELEKTRONIKI ZA KODI ZA (EFD's)


TIN NI BURE


   Tin ni utambulisho wa mlipa kodi na hutolewa bure kwa wananchi,fika katika kituo cha kutoa huduma kwa walipakodi kote nchini Tanzania na utapatiwa Bureeeeee!