Mamlaka ya Mapato
Tanzania TRA inawatangazia wamiliki wote wa pikipiki kuwa Serikali imebadili
namba za usajili wa pikipiki na hivyo namba mpya zinazoanzia MC 101 AAA zitaanza kutolewa tarehe
1 Oktoba 2014.
Unatakiwa kuwa na kadi halisi ya pikipiki au Bajaj yako na gharama ya kadi mpya
ni shilingi elfu kumi. Zoezi hilo litadumu kwa miezi sita bila ya adhabu, kuanzia tarehe 1 Oktoba, 2014
hadi tarehe 31 Machi, 2015.
“Pamoja Tunajenga Taifa Letu”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni